Viongozi waliochanguliwa kuratibu na kuongoza shughuli za chama kwa muda ni wafuatao;
Chris Lukosi - Mwenyekiti |
Liberatus Musiba- Makamu Mwenyekiti |
Christopher Chegula - Katibu Mwenezi |
Dr. Alex Paurine- Mweka hazina |
E.R. Lunyama - Katibu wa Vijana |
Bi Jessca Maduhu- Mwenyekiti Baraza la Wanawake |
Margaret Malekia- Katibu Baraza la Wanawake |
Rodwell Lugano |
Chris Swai- Think Tank Team Member |
Archie Mbade- Think Tank Team Member |
Viongozi wengine waliochanguliwa ni paomja Johnstone Malunda Mwenyekiti wa Vijana na Bw. Edmund Marealle aliyechaguliwa kuwa mjumbe wa kamati kuu
No comments:
Post a Comment